Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023.

Tukio la ibada maalum ya kuwaombea na kuaga miili ya marehemu hao limefanyika Uwanja wa Mnazi Mmoja Dar es Salaam.

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
IMG-20241118-WA0037.jpg
db77127302e34b07b67c6c8f214b403a.jpg
IMG-20241118-WA0038.jpg
6f78f1ac94594ab9bdec31a83adc06e0.jpg
18a34983e7a44239b7e3664f0133ff9f.jpg
IMG-20241118-WA0039.jpg
851250374ccf4d02a52da9375428bd86.jpg
e6bf9f31a90a45f7bc399c8d4b827e50.jpg
4a7c2db773424b8c990448045f60363d.jpg
9429f4c822a148e080bdac2eae21a97a.jpg
a73d2222714c4368b4484a9ab173dbec.jpg
a5759c4fe41d4e4fa09484c8de84bb80.jpg
IMG-20241118-WA0040.jpg
 
Viongozi wa dini nawaona na kanzu zao safi kabisa . Hapo sawa. Wakitoa maoni tofauti....... kama bagonza....... wanachanganya dini na SIHASA
 
Back
Top Bottom