Dar Wing...pokeeni salam nyingi kutoka Arusha Wing

Dar Wing...pokeeni salam nyingi kutoka Arusha Wing

Lol KakaKiiza tumesahau Tanga Wing tena ndio ya pili baada ya Arusha then wengine ndio mwafuata. KOKUTONA salamu zetu kwa wingi..tudumishe upendo.
Hivi kaka Kaizer yuko wing gani?
Kigoma Wing au

Nyie wana Arusha respect sana yani.....Tanga wing tunawakubali na salamu nimezipokea with all my heart.
Kaizer is free like air molecules and he is in non alignment philosophy, yeye wing yoyote anaingia regarding that he is happy and welcomed. Namkubali sana mm.

Ni kweli upendo huu tuliouanzisha uwe endelevu, na baraka za Mungu tutaziona
 
Last edited by a moderator:
:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mashallah KOKUTONA ila yeye mswati mambo ya kitanga hawezi kwensa na bitu ujue.....atuachie.sie tu

Cc mwalimu Arabela Arushaone Filipo Mzee wa Rula

Nilimwambia nitamfuatilia kwa karibu sana, nione......na wasiwasi wangu ni kama kweli@Arushaone atafika mwisho wa safari au BEAT za ki TANGA zitamchanganya akosee step....Kaa mkao wa kula/standby/stay tuned lol.
 
Wana Dar Wing naomba niwaletee salamu nyingi kutoka kwa wana Arusha Wing,
Sina chakuongea kwakuwa ukarimu tuliofanyiwa hauna hesabu nisawa na mchanga wa mwaloni!Napenda kutoa shukurani kwa wana JF Arusha Wing kwa ukarimu mliotuonyesha kweli naweza kuthubutu kusema kwamba JF Arusha Wing is the read of all JF Wing's country wide!
Arusha wing naomba muendelee na moyo huo napeleka pongezi za pekee ziwaendee nyote! Blaki Womanihii ni yaupendeleo kwakuwa ulisimamia show!

CC; Preta, Arushaone, Erickb52, Crashwise, PakaJimmy, Maxence Melo, Liverpool fc Loner, sweetlady , Mungi, Lily Flower, Halisi,!!!!!

CC: Dar wing,
Mtambuzi, Madame B, Nivea, Smile, gfsonwin, raiza, babu mkaguzi ODM Asprin, Paloma, Ruttashobolwa, Kipaji Halisi, FirstLady1, cacico, Zion Daughter, Mwanajamiione, Tulizo, Chocolate, watu8, Vin Diesel,@figaniga,

Chuga wing nimewakubali...
 
Last edited by a moderator:
Sasa nyie mnanifanya nifanye '''' ajua'''' safari yangi. Naja Arusha tena maana nilimiss hii makitu.
Kakakiiza nina kesi nawe ujue....
 
Back
Top Bottom