Naomba na salamu nyingine zifike Rocky City wing
Copy kwa Rocky city charminglady Judgement Elizabeth Dominic ram
Popote ulipo Chocs nakumiss mpenzi.
Mwalimu kaporwa na King Mswati kwa hiyo hana chake tehe tehe tehe.
Cc LiverpoolFC Arushaone PakaJimmy
Mwalimu kaporwa na King Mswati kwa hiyo hana chake tehe tehe tehe.
Cc LiverpoolFC Arushaone PakaJimmy
Duu hii kati, kumbu kumbu zangu zinaniambia KING MSWATI ameshatubu kabisa na amebaki na mtoto wa kitanga, mtoto mwenye soni za usoni, mtoto mwenye adabu zake Arabela
Nyie wana Arusha respect sana yani.....Tanga wing tunawakubali na salamu nimezipokea with all my heart.
Kaizer is free like air molecules and he is in non alignment philosophy, yeye wing yoyote anaingia regarding that he is happy and welcomed. Namkubali sana mm.
Ni kweli upendo huu tuliouanzisha uwe endelevu, na baraka za Mungu tutaziona
Mashallah KOKUTONA ila yeye mswati mambo ya kitanga hawezi kwensa na bitu ujue.....atuachie.sie tu
Cc mwalimu Arabela Arushaone Filipo Mzee wa Rula
hujambo mpenzi wangu wa zamani?
Wana Dar Wing naomba niwaletee salamu nyingi kutoka kwa wana Arusha Wing,
Sina chakuongea kwakuwa ukarimu tuliofanyiwa hauna hesabu nisawa na mchanga wa mwaloni!Napenda kutoa shukurani kwa wana JF Arusha Wing kwa ukarimu mliotuonyesha kweli naweza kuthubutu kusema kwamba JF Arusha Wing is the read of all JF Wing's country wide!
Arusha wing naomba muendelee na moyo huo napeleka pongezi za pekee ziwaendee nyote! Blaki Womanihii ni yaupendeleo kwakuwa ulisimamia show!
CC; Preta, Arushaone, Erickb52, Crashwise, PakaJimmy, Maxence Melo, Liverpool fc Loner, sweetlady , Mungi, Lily Flower, Halisi,!!!!!
CC: Dar wing,
Mtambuzi, Madame B, Nivea, Smile, gfsonwin, raiza, babu mkaguzi ODM Asprin, Paloma, Ruttashobolwa, Kipaji Halisi, FirstLady1, cacico, Zion Daughter, Mwanajamiione, Tulizo, Chocolate, watu8, Vin Diesel,@figaniga,
Kuanzia leo nitakuheshimu kaka yangu kwa kuniachia huyo Laazizi wangu Chocs. UbarikiweJamani...!
Nafurahi sana.
Pia nimefurahi kuona kiwatengu kajitoa hope hata nanjilinji kajitoa kwa majibu yako mazito.
Thanks mylove Chocs
Naomba na salamu nyingine zifike Rocky City wing
Copy kwa Rocky city charminglady Judgement Elizabeth Dominic ram
Popote ulipo Chocs nakumiss mpenzi.
Jamani...!
Nafurahi sana.
Pia nimefurahi kuona kiwatengu kajitoa hope hata nanjilinji kajitoa kwa majibu yako mazito.
Thanks mylove Chocs