Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 6, 2013 #81 MwanajamiiOne said: Sasa nyie mnanifanya nifanye '''' ajua'''' safari yangi. Naja Arusha tena maana nilimiss hii makitu. Kakakiiza nina kesi nawe ujue.... Click to expand... Karibu sana
MwanajamiiOne said: Sasa nyie mnanifanya nifanye '''' ajua'''' safari yangi. Naja Arusha tena maana nilimiss hii makitu. Kakakiiza nina kesi nawe ujue.... Click to expand... Karibu sana
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 6, 2013 #82 ram said: Shukrani Erickb52, pole na mkasa wa jana uliotokea huko kwenu Click to expand... Asante ram Tushapoa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ram said: Shukrani Erickb52, pole na mkasa wa jana uliotokea huko kwenu Click to expand... Asante ram Tushapoa
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 May 6, 2013 #83 MwanajamiiOne said: Sasa nyie mnanifanya nifanye '''' ajua'''' safari yangi. Naja Arusha tena maana nilimiss hii makitu. Kakakiiza nina kesi nawe ujue.... Click to expand... ...Sijui ulipotelea wapi...hatukuona uwepo wako while ur seat was rsvd!
MwanajamiiOne said: Sasa nyie mnanifanya nifanye '''' ajua'''' safari yangi. Naja Arusha tena maana nilimiss hii makitu. Kakakiiza nina kesi nawe ujue.... Click to expand... ...Sijui ulipotelea wapi...hatukuona uwepo wako while ur seat was rsvd!
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 May 7, 2013 Thread starter #84 Kwa watu wangu wa Arusha Wing naomba kutoa shukurani zangu za dhati kwenu nyinyi kwa mioyo yenu safi kwa wageni na ninachuka wasaa huu kuwambia kuwa nimefika salama Dar na salamu zenu nitazitoa kwa siku ambayo tutakutana na Da wing! CC; Preta, Arushaone, Erickb52, Crashwise, PakaJimmy, Maxence Melo, Liverpool fc Loner, sweetlady , Mungi, Lily Flower, Halisi, Blaki Womani!!!!! CC: Dar wing, Mtambuzi, Madame B, Nivea, Smile, gfsonwin, babu mkaguzi ODM Asprin, Paloma, Ruttashobolwa, Kipaji Halisi, FirstLady1, cacico, Zion Daughter, Mwanajamiione, Tulizo, Chocolate, watu8, Vin Diesel,@figganiga, Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kwa watu wangu wa Arusha Wing naomba kutoa shukurani zangu za dhati kwenu nyinyi kwa mioyo yenu safi kwa wageni na ninachuka wasaa huu kuwambia kuwa nimefika salama Dar na salamu zenu nitazitoa kwa siku ambayo tutakutana na Da wing! CC; Preta, Arushaone, Erickb52, Crashwise, PakaJimmy, Maxence Melo, Liverpool fc Loner, sweetlady , Mungi, Lily Flower, Halisi, Blaki Womani!!!!! CC: Dar wing, Mtambuzi, Madame B, Nivea, Smile, gfsonwin, babu mkaguzi ODM Asprin, Paloma, Ruttashobolwa, Kipaji Halisi, FirstLady1, cacico, Zion Daughter, Mwanajamiione, Tulizo, Chocolate, watu8, Vin Diesel,@figganiga,