Kiluvya ipo Dar wilaya ya Ubungo mpaka wa Dar na Pwani ni pale darajani kabla hujafika ilipokua mizani ya zamani yaani mpaka ni mto Mpiji.Kiluvya ipo Pwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiluvya ipo Dar wilaya ya Ubungo mpaka wa Dar na Pwani ni pale darajani kabla hujafika ilipokua mizani ya zamani yaani mpaka ni mto Mpiji.Kiluvya ipo Pwani
Acha uongo.Kiluvya ipo Dar wilaya ya Ubungo mpaka wa Dar na Pwani ni pale darajani kabla hujafika ilipokua mizani ya zamani yaani mpaka ni mto Mpiji.
Kiluvya ipo Dar wilaya ya Ubungo mpaka wa Dar na Pwani ni pale darajani kabla hujafika ilipokua mizani ya zamani yaani mpaka ni mto Mpiji.
Tunaeleweshana mimi nipo gogoni upande wa kituo kikuu cha Polisi W/ya Ubungo kiluvya iko pote pote Dar na Pwani.
Kweli, kuna matapeli walimtapeli Jamaa yangu, kwa kumuuzia kiwanja cha mtu, ofisi zao, kama unaenda kisarawe, ukivuka tu line kubwa ya umeme, kabla njia panda kwenda kwa Sumae.Kama umetokea Mbezi Louis unaenda Kibaha upande wa kushoto(Kiluvya) ni Kisarawe ambayo ni mkoa wa Pwani na upande wa kulia ni Kibamba wilaya ya Ubungo ambayo ni mkoa wa Dar es Salaam.
Mpaka wa mkoa ni Morogoro Road.Tunaeleweshana mimi nipo gogoni upande wa kituo kikuu cha Polisi W/ya Ubungo kiluvya iko pote pote Dar na Pwani.
Kweli, kuna matapeli walimtapeli Jamaa yangu, kwa kumuuzia kiwanja cha mtu, ofisi zao, kama unaenda kisarawe, ukivuka tu line kubwa ya umeme, kabla njia panda kwenda kwa Sumae.
Tukaenda polisi gogoni, wakatiambie twende kisarawe, kule wako wilaya ya kisarawe.