Hilo la kurundika rasilimali za nchi sehemu moja ni tatizo la viongozi wa ccm ambao hawana maono kama samia.Hawana akili hawawezi elewa ubaya wa kurundika Rasilimali kwenye Mji mmja.
Kwani mada yangu
Dar pekee ndio Ina Bahari hapa Tanzania? Unaelewa hoja iliyoko.mezani lakini?Sababu kuu Bandari ya Dar
Viwanda
Uwanja wa ndege wa kimataifa
Sio swala la makampuni tuu Bali ni swala la serikali kujenga Kila kitu Dar ndicho kimewalwta hao makampuniHi ni athari ya centralisation system, makao makuu ya makampuni mengi yapo based dsm hata kama yana operate mikoani.
Wewe Sasa ni WA ajabu kweli kweli.Kwamba Watanzania wale wale wote wako hapo Dar?hakuna cha ajabu wote ni watanzania wale wale.
Harafu hata Mamlaka hata hazishangai.Yaani mikoa yote iliyobaki ikiungaishwa bado haiifukuzi Dar hata kwa mbali! Hii haijakaa sawa!
Jikite kwenye hoja usibebe kichwa kama mzigo wa kabeji.HAYA..... Tuma salamu Kwa chawa wenzako watatu. BADO UPO DODOMA?
Kwa hili naunga mkono hoja.CCM ni aibu ya ulimwengu. Mikoani ufukara umetamalaki
Tajiri mi napenda open minded dialogues, penye nyeusi iwe nyeusi blue iwe blue sio kusema unajua hii ni kama pinki...Kwani mada yangu inamlajmi.nani?
Uamzi wa Magufuli kuhakikisha Makao Makuu yanakuwa Dom naunga mkono Kwa asilimia 200.Sio Dodoma tena ?
Inasikitisha sanaHakuna siku nimefika Dar nisikute barabara zinajengwa. Nenda mikoani/wilayani sasa
Trilioni zaidi ya 12 ni Bandari, mtu wa mkoani akitoa mzigo wake Bandari basi unahesabiwa kama ni mapato ya Dar,MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.
Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. “Licha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,” alisema.
Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Habari Leo
===
MY TAKE
Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar
Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.
Kwamba Mikoa 25 inakusanya Trilioni 3.5 yaani hata nusu ya Mapato ya Dar hayafiki harafu Walioko kwenye Utawala wanaona sawa tuu.
Ngoja ije itokee Dar kuwa paralysed siku Moja Kwa tukio.loloye ndipo akili zitawajia maana Mtu mweusi Huwa hajifunzi na hana akili za kesho Hadi apigwe tukio.
Mtu mweusi ana akili fupi sana ,hapo wanasubiria labda ngozi nyeupe ndio uwaambie sio sawa ndio watakuwa sio sawa ila mweusi mwenzao aliwaambia Huwa hawaelewi.Mambo mengi yameelekezwa Dar , kiufupi hakuna mtanzania anaweza kuweka mpango wa kutawanya uchumi kwa sababu wanafuata utaratibu walioukuta ...Chuo cha mafunzo ya ndege kipya kinajengwa Dar , karibia projects zote kubwa zinafanyika hapo .
Sasa unabishana na takwimu za TRA au?Takwimu sidhani kama zina uhalisia
Dar ndio sehemu pekee ambayo Ina Bahari na Bandari pekee? Kwa nini Bandari zingine zisiwe developed?Trilioni zaidi ya 12 ni Bandari, mtu wa mkoani akitoa mzigo wake Bandari basi unahesabiwa kama ni mapato ya Dar,
Sina uhakika ila sitashangaa pia kampuni kubwa kulipa kodi zao dar hata kama mzigo umeuzwa mkoani.
GDP za mikoa ni indicator nzuri kuliko hii.