Hebu tuchukulie labda anao ufahamu ila kwa kuwa ni macho ya kibanadamu tumefumbwa tusione hilo. Unadhani atakuwa anafurahia namna hiyo?Muache haiage nchi ya ndoto zake.
Kwa mara ya mwisho.
Mjue ndo arudi tena hyo.IMETOKA IMEBAKI STORY HATUTAMUONA TENAAAAA.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Muda si mrefu nilikua mwenge,unaambiwa palikua apatoshi boda kama zote watu kibao,Magu katingisha sana.video chini.View attachment 1730418View attachment 1730420
Mkuu sikumbuki vizuri ni either katiba au sheria ile ya CAG inasema kwamba ukishakua CAG hauwezi teuliwa nafasi yoyote ile tena...hili tulilisoma kipindi kile cha timbwili la huyu marehemu kutengua uteuzi...wa CAGKwakweli, me namuomba madam president abadilishe DPP pia, huyu aliepo ni chanzo cha mrundikano wa cases nyingi mahakamani na pia akipenda amteue Prof. Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Man simu yako ina picha low quality kuliko simu zote Africa Mashariki, na kati.
Hii avatar yako imekaa kiushawishi sana..Mabadiliko ni muhimu
Wengi tu hawakuwepo kwani Mimi uliniona?
Jpm ni mpenda haki?Acha uongo.CCM hawawezi kumkubali Mussa Assad kuwa PM, ni muwazi sana na mpenda haki utakua umeleta JPM mgine kwenye chama.
Hebu tuchukulie labda anao ufahamu ila kwa kuwa ni macho ya kibanadamu tumefumbwa tusione hilo. Unadhani atakuwa anafurahia namna hiyo?
NimechekaKUonyesha uchungu ni kumfuata. Unajiua unamfuata, mapenzi makubwa
Wanagawana vyeo Kabula hata hajazikwa. Tanzania is a sad story. They eventually managed to kill him, Shane on them. Tell us the truth. Mlimtoa muhimbili kepeleka kwa mzena on what grounds? Keep alikuwa amekufa?Vyovyote iwavyo mama aachane na group za mtangulizi wake.
Wasiojulikana wameua sana. Alikuwa na wapambe wa kumpa mizuka walikuwa wanasingizia na kuwabambikia watu kesi ili awape vyeo maana ilifikia kipindi ukisingiziwa kumtukana Rais ulikuwa ni uhaini. Na hii imefanya watu wako mahabusu mbalimbali kwa kuonewa.
Tunawajuawa waliomuua, ona wanavyogawana vyeoVyovyote iwavyo mama aachane na group za mtangulizi wake.
Wasiojulikana wameua sana. Alikuwa na wapambe wa kumpa mizuka walikuwa wanasingizia na kuwabambikia watu kesi ili awape vyeo maana ilifikia kipindi ukisingiziwa kumtukana Rais ulikuwa ni uhaini. Na hii imefanya watu wako mahabusu mbalimbali kwa kuonewa.