Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Unaweza kukimbizana na msafara Kweli Wayule usiyempenda Kweli!
Unaweza tandika khanga njiani kweli!
Hujui watanzania Mimi numefatilia msafara wakuanzia jasiri muongoza njia mengi na tulichuma maua. Hafu kwa utamaduni kibongo misiba hujaa sana
 
Nilichogundua ni kwamba magufuli anapendwa Sana na watu wenye maisha ya kawaida ila Kwa watu wlioguswa biashara, kazi na mambo yao hawamkubari ila kiaslimia magufuli anapendwa na watu wengi ukilinganisha na wasiompenda. Sana Sana wasiompenda wapo JF.
Kwa sababu jf kuna wafanyakazi,wafanyabiashara na wenye mambo yao.
 
Wewe bila shaka una bifuna zaradi sababu ulikua unaiba mzigo wake
Huyo jasiri aliyekuwa mwathirika na Mimi nijipeleke sina akili timamu, siishi kwa kutegemea wanaume so siwezi ku risk maisha yangu
 
Yaani unawashangaa Wabongo kujaa kwenye matukio wakati kazi hawana?! Tafuta clip ya Msiba wa Kanumba na Ruge Mutahaba!!! Bongo hata akifa Amber Rutty kisha tukio lipate airtime na hatimae kupelekwa Taifa, lazima nyomi liwepo!!!
Mkuu, kubali hii ya jpm ilikua tofauti...
 
Watu walienda kuangalia mabomu yalivyokuwa yanalipuka Mbagala itakuwa hilo?Hivi hata shetani akiletwa Tanzania na tukaambiwa tutoe kiingilio tutalipa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyo jasiri aliyekuwa mwathirika na Mimi nijipeleke sina akili timamu, siishi kwa kutegemea wanaume so siwezi ku risk maisha yangu
Unaonekana kama hauna akili timamu ndio maana nimesema hivyo....
 
Back
Top Bottom