Dar: Yanga walala mabao 3-2 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya

Eti hawa #VyuraFC walijitoa #Kagame ili Kujiandaa na na Gor Mahia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mpaka sasa Wameshatandikwa [6 Kwa Mtungi[/B] (4 za nje + 2 za ndani)
 
yanga bana hatua ya makund mpaka sasa wamepigwa bao 10 hawajafunga hata 1
 
Hizi timu za bongo za kutembeza bakuli ni pasua kichwa
 
Daah vyuraaa daah yanga

Ha ha ha ha ha

Na ja ja ja ja ja

Akilimaliiiiiiiiiiiiii
 
Yanga bwana sijui wa kimataifa ya kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…