Dar: Yanga walala mabao 3-2 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya

Dar: Yanga walala mabao 3-2 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya

Eti hawa #VyuraFC walijitoa #Kagame ili Kujiandaa na na Gor Mahia 😀😀😀

Mpaka sasa Wameshatandikwa [6 Kwa Mtungi[/B] (4 za nje + 2 za ndani)
 
yanga bana hatua ya makund mpaka sasa wamepigwa bao 10 hawajafunga hata 1
 
Hizi timu za bongo za kutembeza bakuli ni pasua kichwa
 
Daah vyuraaa daah yanga

Ha ha ha ha ha

Na ja ja ja ja ja

Akilimaliiiiiiiiiiiiii
 
Yanga bwana sijui wa kimataifa ya kusadikika
 
Back
Top Bottom