FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Ni bora kuliko goli likabaki wazi.Huyu golikipa ni sawa na pazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora kuliko goli likabaki wazi.Huyu golikipa ni sawa na pazia
Mkuu unamaanisha UMISETA au UMITASHUMTAKwa mpira huu wanaocheza yanga, timu ya sekondari ina afadhali
bila shaka wa kisaraweWakichomoa hizi goli nalala na mkuu wa wilaya
Uwezo wa yanga ni mdogo sana, shule yoyote ile ya sekondari inawanyoosha.....nadhani kuna shida kubwa sana kwenye hii club.Mkuu unamaanisha UMISETA au UMITASHUMTA
Hello GT.
Mwenye kujua matokeo ya hii MECHI please let's me know .Niko Kijijini ,
Nadhani hii timu yangu itafanya vizuri Leo wakuu ,
Waupatie wapi sasaYanga wamewahi kupata ushindi wowote hatua za makundi michuano ya Afrika?