Dar yaongoza ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2020/21

Dar yaongoza ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2020/21

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Jiji letu la Dar limendelea kuchangia mapato ya taifa kwa zaidi ya asilimia 90 ya makusanyo kama ambavyo imethibitishwa na taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwaka 2020/21
1668613489377.png
 
Arusha ina mapato makubwa kuliko Zanzibar halafu hakuna Rais 🌧
 
1. Gereza la kunyonga.
2. Hospital ya vichaa
3. Bunge kupitisha sheria mbovu na mbaya
4. Hakuna upako, laana tupu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah ngoja tuibadilishe sasa
 
Tanga kinachoifanya iwe juu hivyo pamoja na wavivu waliojazana mle ni kitu gani? Au Tanga Cement kiwanda?
Mkonge na Bandari.

Hata Dar bandari ni number one source ya mapato
 
Tukiwaambia Arusha ni muhimu kuliko Mwanza mtulie
Tuanzie kwenye maana ya hizi takwimu. Haya ni mapato yatokanayo ya wafanyabiashara na PAYE. Ukiona iko kubwa kwenye mkoa wako ujue either kuna biashara chache zinazouza sana au waajiriwa wachache wanaolipwa vizuri au wafanyabiashara wachache waaminifu au ajira lukuki zinazotoa ajira ndogondogo au wafanyabiashara wengiiii na wanaolipa kodi kwa uaminifu. Hii ni tofauti na GDP pamoja na GDP per capita.
 
Acha longo longo Arusha ipo juu sana kuilinganisha na Mwanza ni ujuha.

Mwanza ukiondoa ziwa kuna nini !.Hilo ziwa lipo Kagera,Mara.....

Back
Top Bottom