Dar, Zanzibar: Hofu Maiti 15 zikikutwa kwenye viroba

Dar, Zanzibar: Hofu Maiti 15 zikikutwa kwenye viroba

Acheni kuleta uzushi usio na maana, Bahari haiko Tanzania peke yake, Bahari inatoka mbali, Chochote kinaweza kuwa.
Kwa hiyo yote inakuja tanzania

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Umesoma ulichoandika?

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
Asikusumbue mkuu. Kwa mtazamo wake kwakuwa bahari haiko Tanzania tu basi si kitu cha hatari ni kawaida.

Unaona watu walivyo na roho ngumu
 
Hao itakuwa ni wakosoaji wa silikari yetu....
Tuwe makini huyu bwana anakotupeleka sio..
Kma kipindi cha nyerere hii ilotokeaga and ilikuwa ni big issue..
Lkn sikuhz eti ni kawaida tu kuskia mambo kma hayo

Wapiga ramli huwa hamkosekani.
 
unatia huruma
Hivi akili zenu mmeshikiwa na nani? Wewe binafsi kuwa mkweli na nafsi yako, umepotelewa na nani? au nani kalalmika kuwa amepotelewa/ watu 15 sio kidogo, wangapi hapa JF wanafahamu waliopotelewa zaidi ya Propaganda ya Ben Saanane?
 
Matatiiiiiizoooo!
Naimba kwa sauti ya Harmonize.
 
Kwa hiyo yote inakuja tanzania

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Mkuu Baharinini maji yanatembea kwenda ufukweni! Kwa tuliowahi ishi visiwani na pemebezoni mwa baharini maiti ufukweni ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom