mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za tanzagiza muulize Mange ndie anajua alipo.
Inaogofya!!! Kuna katibu wa msikiti hapa temeke alitekwa tangu wiki iliyopita na mpaka sasa hajulikani alipo si huyo tu bali kuna matukio kadhaa ya vijana wa kiislamu kutekwa na kutojulikana wapi wanapelekwa, it might be si hao tu bali na wengine wengi wasio hao kama tulivyokwiasha shuhudia kwa akina Ben Saanane. Tupo katika hali Mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Ruvu ipo Tanzania peke yake.Acheni kuleta uzushi usio na maana, Bahari haiko Tanzania peke yake, Bahari inatoka mbali, Chochote kinaweza kuwa.
Zile nyingine zilisemwa ni wahamiaji haramu.
Kuna kijana karibuni aliachiwa toka kwenye "safe camp" inayosadikiwa ya idara mbele ya mbaggala kwenye pori moja ....alisema huko wengi ni vijana wasio maarufu wanaokamatwa kwa...makosa ya kumtukana mkubwa au seerikali...wako wengi sanaKuna haja ya humu JF kutambuana maana kwa hali hii inaonekana kuna watu wasio maarufu wanapotea kimya kimya..
Mkuu ndugu yako akifa huwezi pata taarifa?Kijijini kwenu akifa hata usiyemjua taarifa zinasambaa, sembuse ndugu yako? Jamani tuache kujengana hofu, Ni kweli Tanzania ni kubwa mbona kila kinachotokea taarifa zinafika kila kona? Tuache kueneza hofu, Tuiombe serikali isaidie kupata taarifa sahihi.