Dar, Zanzibar: Hofu Maiti 15 zikikutwa kwenye viroba

NDIPO TULIPOTOKA ZAMA ZILE
 
"Miili mitatu iliyookotwa Kunduchi iko Hospitali ya Taifa ya Muhimbili MNH na haijatambuliwa, wananchi wafike kuitambua"
Kuna kitu nikikikumbuka roho yangu inauma sana, anyway maybe kabla sijafa siku moja nitakisema.
 
Wacha maumivu yapite
Huna maumivu wewe.Ungekuwa na maumivu ungekisema. Hata kama usingekisema directly ila ungekisema. Isitoshe humu hakuna akujuae sasa unaogopa nini?Sema utibu moyo wako vinginevyo uongo tu
 
Huna maumivu wewe.Ungekuwa na maumivu ungekisema. Hata kama usingekisema directly ila ungekisema. Isitoshe humu hakuna akujuae sasa unaogopa nini?Sema utibu moyo wako vinginevyo uongo tu
Sawa Mpwa! Yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…