KERO Daraja hili Kigamboni eneo la Kona ya Chuo cha Mwasonga haliishi, tunateseka na nauli

KERO Daraja hili Kigamboni eneo la Kona ya Chuo cha Mwasonga haliishi, tunateseka na nauli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa.

Yaani ukitaka kwenda Cheka boda anakushusha upande na mwingine anakupokea upande wa pili yaani kona ya Chuo cha City College, tunalipa nauli mara mbilimbili, unaweza kujikuta unalipa Boda kwa Shilingi 5,000.

 
Back
Top Bottom