Daraja kubwa la Baltimore Nchini Marekani laanguka baada ya kugongwa na Meli

Daraja kubwa la Baltimore Nchini Marekani laanguka baada ya kugongwa na Meli

Yaani limejengwa mwaka wa 1950 na lisingegongwa na meli lingeendelea tu kutumika ha ta miaka mingine 200.wakandarasi wa Tanzania wajifunze Kwa Nini madaraja yetu yanasombwa na maji yakiwa hayajafikisha hata miaka mitatu
 
Huwezi kufurahia maafa ya binadamu wenzako,Hivi mdivyo Mungu anavyoonyesha jinsi nchi ya Amerika,inavyosababisha kuwepo na vikundi visivyo vya amani,na yeye wakati wowte yaweza kumtokea maafa,bila kutegemea.Amani duniani ni muhimu sana.
Sure, lakin kwakua mwenye kusaabisha vifo ndo kakutwa, sina budi kua bize na issue binafsi paspo kuomboleza
 
Back
Top Bottom