Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

zimmerman

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
1,644
Reaction score
3,176
Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya.

#mimi na magufuli ni kitu kimoja#
 
Ngoja nami nitupie picha
IMG_20210831_120112.jpg
 
Mtoa mada acha kupotosha umma, Daraja bado halijaanza kujengwa.
 
Juzi kuna mtu alikuwa kule akaniambia bado sana, leo nasikia tayari. Nimeshindwa hata kumuuliza jamaa ikiwa alinidanganya au la.
 
Back
Top Bottom