Daraja la Busisi ni refu zaidi Afrika Mashariki na Kati

Daraja la Busisi ni refu zaidi Afrika Mashariki na Kati

Hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!
Zingejenga barabara nyingi zaidi Dar na kuwanufaisha wengi zaidi ya hao watanashati wa Oyster-bay
 
Hahahaha, mwenzetu unaishi mkoa gani? Sisi wanaopita hapo kutoka sehemu za Tegeta, Mwenge kwenda Posta tumeshaona faida la hili daraja.

Yani hatupotezi masaa mengi katika foreni za magari mpaka tumeshasahau usumbufu wa foreni ya zamani eneo hilo. Cha ajabu, hata barabara ya zamani nayo foreni imesha. Usikae tu kijijini njo utembee na Dsm pia.
foreni, foreni, foreni. FORENI NI NINI? Inakera sana.
 
Eti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?

Hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI
Mkuu kwa mtoto wa kike, binti, na msichana, vile viti , ana matiti baadaye huwa yanakazi gani? mBONA mUNGU ALIWAPA
 
Hili daraja bado tu halijaisha.tozo,mkopo na misada huwa mnapeleka wap?r.i.p.jpm lingekuwa limekamilika kama ungekuwepo
 
Ila darana la mto Wami kujengwa sawa! Kwa kuwa linaenda kwenu!😂😂😂😂
We umekulia na kwashiakor, unaweza kulinganisha daraja la Wami na la Tanzanite? Ni ubinafsi kwa kuwa unakaa Dar es Salaam au ni uelewa mdogo? daraja la Tanzanite halina umuhimu wowote ule ulikuwa ushamba wa msukuma. Huwezi kutumia zaidi Billion 700 kupitisha daraja juu ya bahari ndani ya nchi maskini kama Tanzania ambayo imejaa barabara za vumbi mikoani. Ni aibu ni ubinafsi, ni ushamba uliopitiliza.
 
Kazi kazi
IMG_20220423_074712.jpg
 
Eti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?

Hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI
Mzee billion 600 ukisema uzisambaze nchi nzima unaweza usione kitachotokea.
Nashauri Serikali iangalie mahitaji machache ya kimkoa au nchi na kuweza vitu vichache vyenye tija kuliko kusambaza pesa Kila sehemu alafu hatuoni matokeo ya kudumu.
 
Back
Top Bottom