Daraja la Busisi ni refu zaidi Afrika Mashariki na Kati

Hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!
Zingejenga barabara nyingi zaidi Dar na kuwanufaisha wengi zaidi ya hao watanashati wa Oyster-bay
 
foreni, foreni, foreni. FORENI NI NINI? Inakera sana.
 
Mkuu kwa mtoto wa kike, binti, na msichana, vile viti , ana matiti baadaye huwa yanakazi gani? mBONA mUNGU ALIWAPA
 
Hili daraja bado tu halijaisha.tozo,mkopo na misada huwa mnapeleka wap?r.i.p.jpm lingekuwa limekamilika kama ungekuwepo
 
Ila darana la mto Wami kujengwa sawa! Kwa kuwa linaenda kwenu!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We umekulia na kwashiakor, unaweza kulinganisha daraja la Wami na la Tanzanite? Ni ubinafsi kwa kuwa unakaa Dar es Salaam au ni uelewa mdogo? daraja la Tanzanite halina umuhimu wowote ule ulikuwa ushamba wa msukuma. Huwezi kutumia zaidi Billion 700 kupitisha daraja juu ya bahari ndani ya nchi maskini kama Tanzania ambayo imejaa barabara za vumbi mikoani. Ni aibu ni ubinafsi, ni ushamba uliopitiliza.
 
Mzee billion 600 ukisema uzisambaze nchi nzima unaweza usione kitachotokea.
Nashauri Serikali iangalie mahitaji machache ya kimkoa au nchi na kuweza vitu vichache vyenye tija kuliko kusambaza pesa Kila sehemu alafu hatuoni matokeo ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…