Kwahiyo ni Bora kungoja nusu saa alafu utumie zaidi dk 25 kuvuka au utmie dk 4 kwa daraja?" Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120 (masaa mawili) kusubiri kivuko hadi DAKIKA 4 tu kuvuka darajani ili maisha ya uzalishaji kiuchumi na kijamaa yaendelee"
Sijawahi kungoja kivuko kwa zaidi ya nusu saa