O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Mar 16, 2024 #21 uttoh2002 said: " Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120 (masaa mawili) kusubiri kivuko hadi DAKIKA 4 tu kuvuka darajani ili maisha ya uzalishaji kiuchumi na kijamaa yaendelee" Sijawahi kungoja kivuko kwa zaidi ya nusu saa Click to expand... Kwahiyo ni Bora kungoja nusu saa alafu utumie zaidi dk 25 kuvuka au utmie dk 4 kwa daraja?
uttoh2002 said: " Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120 (masaa mawili) kusubiri kivuko hadi DAKIKA 4 tu kuvuka darajani ili maisha ya uzalishaji kiuchumi na kijamaa yaendelee" Sijawahi kungoja kivuko kwa zaidi ya nusu saa Click to expand... Kwahiyo ni Bora kungoja nusu saa alafu utumie zaidi dk 25 kuvuka au utmie dk 4 kwa daraja?
D dndagula JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 1,602 Reaction score 1,650 Mar 16, 2024 #22 JPM angefanya maendeleo yale yale kwenye uwanja wa ndege Mwanza ingekuwa safi sana.
N narogo JF-Expert Member Joined Aug 25, 2021 Posts 2,765 Reaction score 2,707 Mar 16, 2024 #23 NIMEONA said: Pale waoga na walinda legacy wanapoliogopa na kujitahidi kwa kila halli kuliepuka jina la mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Click to expand... Hawataki kabisa ionekane mama anafanya
NIMEONA said: Pale waoga na walinda legacy wanapoliogopa na kujitahidi kwa kila halli kuliepuka jina la mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Click to expand... Hawataki kabisa ionekane mama anafanya
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Mar 16, 2024 #24 OgaBoy said: Kwahiyo ni Bora kungoja nusu saa alafu utumie zaidi dk 25 kuvuka au utmie dk 4 kwa daraja? Click to expand... Neno ni "Bora" umeongeza wewe!
OgaBoy said: Kwahiyo ni Bora kungoja nusu saa alafu utumie zaidi dk 25 kuvuka au utmie dk 4 kwa daraja? Click to expand... Neno ni "Bora" umeongeza wewe!
a4afrika JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 1,456 Reaction score 1,459 Mar 16, 2024 #25 Naona wamejikaza kutamka Jina MAGUFULI vinywani mwao. Wajitahidi kulizoea, maana Uchaguzi mwakani, watalazimika kulitamka kwenye kila Jukwaa.
Naona wamejikaza kutamka Jina MAGUFULI vinywani mwao. Wajitahidi kulizoea, maana Uchaguzi mwakani, watalazimika kulitamka kwenye kila Jukwaa.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Mar 16, 2024 #26 Safi.
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 903 Jul 14, 2024 #27 PureView zeiss said: Ni zamu ya mama Samia naye kukumbukwa Kwa kujenga daraja la KISORYA - UKEREWE Click to expand... Aache kujenga kwao Kizmkazi ajenge kwa wakerewe? Thubutu labda aje auze kisiwani kwa waarabu!
PureView zeiss said: Ni zamu ya mama Samia naye kukumbukwa Kwa kujenga daraja la KISORYA - UKEREWE Click to expand... Aache kujenga kwao Kizmkazi ajenge kwa wakerewe? Thubutu labda aje auze kisiwani kwa waarabu!
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Jul 14, 2024 #28 Anko Sam said: Aache kujenga kwao Kizmkazi ajenge kwa wakerewe? Thubutu labda aje auze kisiwani kwa waarabu! Click to expand... Hatari sana
Anko Sam said: Aache kujenga kwao Kizmkazi ajenge kwa wakerewe? Thubutu labda aje auze kisiwani kwa waarabu! Click to expand... Hatari sana