Daraja la Jangwani litajengwa kwa billion 300 au billion 97?

Kwanini hizi pesa hazipitii bungeni?
 
Hii nchi ukiwa serious utakufa kwa presha
 
Serikali ya wahuni kila kitu kinaendeshwa kuhunihuni
 
Nilivyoona mchoro, nahisi kuna nakshi zimeondolewa, pia kwa nini liwe njia nne, sio sita, taking into account jiji linakua kwa kasi? Maana yake hicho kieneo kinaweza kuwa kiini cha foleni.

Ni yaleyale ya ramani ya flyover ya ubungo, mwanzo ili kuwa kiwango, ikachakachuliwq
 
Njia sita maana yake ubomoe majumba pale fire na magomeni,utalipa?!
 
Hapo kulikuwa kuna mipango ya kuiba pesa,haiwezekani daraja la busisi - kigongo ambalo lina urefu wa zaidi ya km 3 na baadhi ya nguzo zake zikijengwa kwenye maji lijengwe kwa bilioni 800 halafu hiko kidaraja cha jangwa kijengwe kwa bilioni 300!
Kuna qwamu Fulani,watumishi wazalendo walishindwa kudeliver,basi ili isiwetabu ,awamu iliajiri walioitwa"Tx",kama vipi,wa paste
 
Ila hapa hazijatajwa dola
Wala Shilingi.
Tusijitoe ufahamu, hakuna daraja mita 400 kwa gharama ya Shilingi bilioni 97.

Kwa hivyo kubali tu maelezo na documents zipo mtandaoni za mradi wote.
 
Wale wanaopongeza means wanamlaumu yule aliyeidhinisha na kujenga Kituo cha Mwendokasi pale Jangwani,dah !
 
Wala Shilingi.
Tusijitoe ufahamu, hakuna daraja mita 400 kwa gharama ya Shilingi bilioni 97.

Kwa hivyo kubali tu maelezo na documents zipo mtandaoni za mradi wote.
Huku kubali tu maelezo bila kuhoji ndio kumetufikisha hapa kama taifa.. Uhalisia ni upi sasa katika hizo figure mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…