Daraja la Jangwani litajengwa kwa billion 300 au billion 97?

Waandishi wa habari wa Tanzania ni wapumbavu kama wapumbavu wengine tu! Mradi mbona unaunganisha na kazi zingine kwenye Jiji hili la Dar? Maana hapo kuna pesa nyingine 125 bilion zitafanya kazi zingine sambamba na mradi wa daraja. Sasa wao wanaripoti kama zote inatumika kwenye daraja!
 
Ndio ubabaishaji huo na utapeli mwingi.

Mbaya zaidi hawaoni kuwa wana wajibu wa kueleza chochote, hata wakistuliwa. Toka Tsh. 300 bilioni hadi kufikia Tsh 97 bilioni; na michoro ya daraja ni ile ile?

Huo 'usomi' wa kujidhalilisha kiasi hicho, ni usomi gani huo?
 
Hapo kulikuwa kuna mipango ya kuiba pesa,haiwezekani daraja la busisi - kigongo ambalo lina urefu wa zaidi ya km 3 na baadhi ya nguzo zake zikijengwa kwenye maji lijengwe kwa bilioni 800 halafu hiko kidaraja cha jangwani kijengwe kwa bilioni 300!
ccm wapo kazini... Ukibisha unatekwa na kushughulikiwa
Itakuwa shillingi imepanda thamani.
Hao ndo ccm kwa rangi zao halisi
 
Waandishi hawafafanui vizuri bwana. Angalau Habari Leo walijaribu kufafanua ingawa bado hela haifuki 300 bilioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…