Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

Serikali imekopa pesa nyingi sana kujenga miundombinu why mkopo wa daraja hili ulipwe na wana Kigamboni?
 
Pamoja na ombi la kujirudiarudia la mbunge wa Kigamboni kuomba wananchi wapite bure, jambo hilo liligonga mwamba baada ya Rais Samia kusema limejengwa kwa mkopo na lazima urejeshwe.
Mkopo unakwisha lini? na hao wastaafu wananufaika vipi na faida itokanayo na huo mkopo?
 
Gharama za ujenzi ni bilioni 200 plus ..
Kama limeingiza bilioni 83 ina maana nssf wanadai kama bilioni 120
Serikali ilipe deni ...hayo makusanyo yaende kwenye manispaa ya Kigamboni...
1.gharama ni zaidi ya b300
2.hio b 83 wanagawana serikali na nssf..me nachoona tuwape miaka mitano nssf warudishe hela yao..halafu serikali ilichukue iwaachie halmashauri ya kigamboni ila wabaki wanatoza magari pekee..Watembea kwa miguu iwe bure
 
1.gharama ni zaidi ya b300
2.hio b 83 wanagawana serikali na nssf..me nachoona tuwape miaka mitano nssf warudishe hela yao..halafu serikali ilichukue iwaachie halmashauri ya kigamboni ila wabaki wanatoza magari pekee..Watembea kwa miguu iwe bure

Hata sasa watembea Kwa miguu bure na baiskeli bure
 
Na lilijengwa kwa billion 60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Double check your calculations
 
Hili daraja limetusaidia sana sisi wa Kigamboni zaman hadi feri jamani
 
Wakimaliza mkopo wasiondoe tozo bali wapunguze tozo kwasababu kuna gharama za uendeshaji na gharama za ziada, (overhead expenses)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…