Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

Nimepita leo nimewaza sana asante nimepata mwanga sasa tuko nusu duuuu safari bado kumbe.....
 
Kwa ukubwa wa matumizi ya fedha nchini, na hakuna uzalishaji ni wizi Kila Kona, na mikopo mikubwa.
Tukifika 2030 tutakuwa omba omba wote
 
Zikipelekwa halmashauri hizo fedha serikali itakuwa inapokea million 15 tu kwa siku. Zingine Mkurugenzi atakuwa anajimegea na kupeleka kiasi Magogoni kwa njia anazojua yeye 😁 hii ndio Tanzania.
Hakuna magogoni. Huko halmashauri ..
 
Back
Top Bottom