macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Bongo, sehemu serikali inatoza tozo wakikuambia kwa siku wanakusanya fedha milioni moja, inabidi uzidishe hicho kiasi mara mbili kisha ujumlishe na robo yake ili upate makusanyo halisi.Ndogo au ni kubwa haifikiki?
Binafsi naona hata hiyo 41m per day ni ndogo
Jamaa wanakusanya kweli kweli.... Walipoanza TEMESA ndio walikuwa wanakusanya... baadae walivyoamua kukusanya NSSF wenyewe, ndio walipoanza kuona hela.Lile daraja kwa siku linaweza kufika hata mil 10 kweli?
Na ndio uhalisia, mapato ya hilo daraja ni makubwa kutokana na movement ya magari iliyopo. Malori tu yanayopita kwenda kupakia mafuta yanaingiza hela nyingi sana.Bongo, sehemu serikali inatoza tozo wakikuambia kwa siku wanakusanya fedha milioni moja, inabidi uzidishe hicho kiasi mara mbili kisha ujumlishe na robo yake ili upate makusanyo halisi.
Mkuu hesabu za wapi hizo umepiga?Milioni 40 kwa magari yenye uzito mdogo kabisa ni 1500
40,000,000/1500=2,666
Hizo ni trips 2666 ambapo kama mtu anaishi Kigamboni anaenda na kurudi. Wastani wa magari yasiyozidi 1300 kwa siku, punguza na mabasi ambayo yanapita hapo siku nzima kwa kurudia rudia..
Nadhani inawezekana..
Sasa wabishana na watoa taarifaLile daraja kwa siku linaweza kufika hata mil 10 kweli?
Kwamba wao walichangia kitu gani?Gharama za ujenzi ni bilioni 200 plus ..
Kama limeingiza bilioni 83 ina maana nssf wanadai kama bilioni 120
Serikali ilipe deni ...hayo makusanyo yaende kwenye manispaa ya Kigamboni...
Matumizi gani wakati wale wanaokaa pale ni wafanyakazi wa NSSF?Waweke na matumizi, utakuta zote hizo zinaenda kwenye matumizi na hazitoshi.
Hujalazimishwa lipa, waweza zunguka MbagalaSerikali imekopa pesa nyingi sana kujenga miundombinu why mkopo wa daraja hili ulipwe na wana Kigamboni?
Hujalazimishwa lipa, waweza zunguka Mbagala
Wawekezaji wameamua kukaa wenyewe wakusanyeJamaa wanakusanya kweli kweli.... Walipoanza TEMESA ndio walikuwa wanakusanya... baadae walivyoamua kukusanya NSSF wenyewe, ndio walipoanza kuona hela.
Unaijua usd 135 billions ndugu mtoa mada?Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki.
Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya Serikali na NSSF. Mkurugenzi wa NSSF, Masha Mshomba amesema kwasasa daraja hilo linakusanya wastani wa bilioni 1.2-1.3 ambayo ni kama milioni 41 kwa siku.
Pamoja na ombi la kujirudiarudia la mbunge wa Kigamboni kuomba wananchi wapite bure, jambo hilo liligonga mwamba baada ya Rais Samia kusema limejengwa kwa mkopo na lazima urejeshwe.
Si wanalipwa? halafu kuna ulinzi, kuna repair and maintanance. Matumizi lazima yatoke hapo kwenye chanzo cha mapato, hata kama wanatoka NSSF, kuna ubia hapo.Matumizi gani wakati wale wanaokaa pale ni wafanyakazi wa NSSF?
hivi hizo nguzo huko kwenye maji zimefika chini kabisa?
Nadhani zimefika chini wataalam watusaidie kuelezea hili.hivi hizo nguzo huko kwenye maji zimefika chini kabisa?
uinjinia nao sio wa polepole aysee
I wonder, kama ndivyo kiuchumi ni biashara inayolipa.Mil 41 kwa siku?
Mmmh
MkuuGharama za ujenzi ni bilioni 200 plus ..
Kama limeingiza bilioni 83 ina maana nssf wanadai kama bilioni 120
Serikali ilipe deni ...hayo makusanyo yaende kwenye manispaa ya Kigamboni...
Waweke na matumizi, utakuta zote hizo zinaenda kwenye m
atumizi na hazitoshi.
Waweke na matumizi, utakuta zote hizo zinaenda kwenye m
atumizi na hazitoshi.
Zikipelekwa halmashauri hizo fedha serikali itakuwa inapokea million 15 tu kwa siku. Zingine Mkurugenzi atakuwa anajimegea na kupeleka kiasi Magogoni kwa njia anazojua yeye 😁 hii ndio Tanzania.Mkuu
Hii ni form ya PPP ambayo lazima ilipwe. Serikali imetambua kuwa inawezekana basi lazima ilipwe ili ijengwe miradi mingine kwa njia hiyo. Ndio ile korido ya Dar to Moro tena ile huenda ikalipa haraka ingawa SGR huenda ikapunguza magari barabarani.
Kupeleka halmashauri sio sawa. Ni bora wananchi wapite bure na ambapo sio sawa.