Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Pale ukithubutu kusogeza hata ncha ya kidole umekwenda.....Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani.
Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda wanatii.
Unajua siri ya mchezo?
Nini kidole? Kucha ikitokeza unakwenda na majiPale ukithubutu kusogeza hata ncha ya kidole umekwenda.....
Hawanaga mapepe paale, Pale ndio gari zinaanzaga kufungulia turbo kama zinaenda mkoani ukikaa vibaya unaondokaNimepita sasa hivi hapo nimewakuta wametulia.
Ningejua ningewapiga picha
YaaahItakua kifo kipo nje nje hapo