Mais velho
Member
- May 18, 2018
- 65
- 56
Mimi nataka yote yabomoke moja baada ya moja. AmeeenSGR na madaraja yanayoitwa flyover viliamuliwa kujengwa na mtu huyohuyo mmoja asie fikiri wala asie na hisia, jiwe!
Yalikuwa maamuzi binafsi hivyo utekelezaji unafanyika bila kufuata sana utaalam