Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,139
- 842
Yaani kuchunguza udai umechunguza wewe, halafu picha unaomba kwa wengine...huyu mtu ana ubongo kichwani ama ugali!! 😀 😀Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania. Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover. Hili daraja lililobomolewa litachukua zaidi ya mwaka moja kulijenga tena. Mradi huu ulikuwa ukamilike mwaka uliopita lakini sasa sioni ukikamilika hadi Yesu arudi. Yaani kilomita 200 ya reli imewashinda kabisa kujenga na bado mnataka kushindana na Wakenya? Mbona msimalize ujenzi wa kilomita hizi chache kabla hamjakuja huku kulinganisha ukubwa wa korodani na majirani wenu?
Watu walio Dar wekeni picha.