Daraja la SGR la Tanzania labomolewa

Yapi wako faster sana nilipita week iliyopita majumba sita wanapiga kazi hadi usiku
Sasa hio bidii yao ni kazi bure kama wanajenga huku serikali inabomoa.
 
Jamani waTz kama inabomolewa jamaa asiseme au? Mbona ni habari ya kweli
 

Naomba kuuliza meter gauge ndio nini ? Mengine yote nimeelewa, ...
 
Mkuu acha wapumbavu waropoke. hii shule uliyowapa umepoteza nguvu zako bure. Tunawaambia kuwa tayari imeisha hiyooo na kibaraka wao tayari kafungiwa chumbani ubalozini. Yanayoendelea huko, hatujui.
 
Mbona habari yako haijakamilika au ni zile story za githeri 😂😂😂
 
Naomba kuuliza meter gauge ndo nini ? Mengine yote nimeelewa, ...
Meter gauge ni reli ya zamani ambayo ina upana mdogo kati ya chuma za reli kushinda Standard gauge railway ambayo ina upana mkubwa.
 
Je hizo sababu ulizozisema zina uthibitisho wowote?

Kisha mwishoni unataka walio Dar wakitumie picha. Waliokutuma uandike waambie wakuambatanishie na relevant docs na pictures

Utakula ulikopeleka mboga
 
Siku hizi kiswahili chako kizuri Sana.😂😂
 
Daraja litajengwa vile vile kama lililobomolewa..Halikukidhi ubora.
 
Unaongea kama uliye kosa utimamu....what a waste

mkuu, mbona jamaa kaongea ukweli hapo sisi tunaona wewe ndio huna utimamu,kwani ni lini Bunge lilikaa likapitisha hiyo miradi ? mwenzako katoa fact ila wewe unamtusi
jiwe is spending a lot kama ma dikteta wenzie mfano Saddam Hussein alijenga majengo mazuri na ya aina yake Iraq ambayo hata Ulaya mpaka leo hakuna hata lakini wananchi walikufa njaa maelfu kwa mwezi
 

Nimesoma hii comment yako nimegundua Nchi inaendeshwa tu bila mipango na hii inatokana na nchi nzima kufuata akili za mtu mmoja mwenye bichwa kubwa, sasa huoni kama kungekua na planning mapema hiyo sehemu isingebomolewa?

Ni pesa ya sisi walipa kodi imeteketea hapo kujenga alafu mnabomoa
hata Hitler na ukichaa wake hakuwahi kufanya huu upuuzi
 
Kwa sasa hata mfumue hiyo SGR yote na kuanza upya au kusitisha kabisa haijalishi kitu maana mlizima upinzani, hakuna wa kuhoji tena, na mtakoma miaka mitano ijayo.......muhimu muonje nini moto wa kuishi bila ya mtu yeyote kuhoji madudu yanayotendeka.
Mkae mkishuhudia namna Kenya inavyopepea ndio mpate akili....
 
Haya leta picha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…