Ni kweli kabisa. Dunia imeshatambua kuwa Tanzania ni dictatorship. Hakuna demokrasia huko Tanzania.Mkorinto and Naton Jr,
Hapo mlikuwa bado mna heshimika kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza na kihitimika 28 October 2020 Tanganyika na Zanzibar.
Sasa ni ukurasa mpya ambapo CCM Mpya ndani ya nchi, kikanda na kimataifa kuelekea 2025 dunia inawatazama kwa mtazamo wa sura nyingine baada ya mask / kinyago kuvuliwa 28 October 2020 na ukweli wa utawala wa CCM Mpya kuwa peupe hadharani kuhusu masuala ya demokrasia, haki , uhuru n.k ambalo ni suala mtambuka mpaka ktk biashara, uwekezaji na diplomasia.
Wewe huwa una tabia mbaya ya kubatiza kila mwanaume huku JF kuwa mwanamke. Nani amekuambia kuwa bagamoyo ni mwanamke? Hii sio mara ya kwanza wewe kufanya hivi.
Wow. Sikuwa nafahamu hilo.Hao ni vijana wa mtaa wa Lumumba wa UVCCM (Umoja wa Vijana wa CCM) ambao kazi yao ni ku-patrol mitandaoni kupitia hoja za vijana wengine wasio CCM wenye fikra-huru na kujaribu kututoa ktk kujikita kuchambua na kuhoji mada mbalimbali bila kuweka propaganda na kuharibu mantiki ya mjadala husika. Huwa wanalipwa buku7 (Tshs 7,000) kwa kukitetea chama-dola cha CCM kwa kuchangia hoja dhaifu kama kubatiza watu majina n.k
Wow. Sikuwa nafahamu hilo.
mtanzania.co.tz › Makala
CCM CHAMA DOLA KISICHO CHA SIASA! | Mtanzania
4 Oct 2017 — Nitaelezea kwanini CCM sio chama cha siasa kwa maana ya ... vyama vingi ilisahau kuiacha dola iwe huru badala yake ... read more : source : CCM CHAMA DOLA KISICHO CHA SIASA! | Mtanzania
Ndio vizuri mkuu ili mwisho wa siku tuje tuone kama upinzani ni dili au sio dili,bahati nzuri maskini ndio wataumia sisi wengine tuko kwenye buffer zone tunaandika madokezo tuKwa sasa hata mfumue hiyo SGR yote na kuanza upya au kusitisha kabisa haijalishi kitu maana mlizima upinzani, hakuna wa kuhoji tena, na mtakoma miaka mitano ijayo.......muhimu muonje nini moto wa kuishi bila ya mtu yeyote kuhoji madudu yanayotendeka.
Mkae mkishuhudia namna Kenya inavyopepea ndio mpate akili....
[emoji23] [emoji23]Ndio vizuri mkuu ili mwisho wa siku tuje tuone kama upinzani ni dili au sio dili,bahati nzuri maskini ndio wataumia sisi wengine tuko kwenye buffer zone tunaandika madokezo tu
KAMATA brdge U/C