Daraja la Tanzanite kuzinduliwa hivi karibuni

Waliite daraja la Masaki, tutakuwa na Selender bridges ngapi?
 
Ni kawaida madaraja kupita kwenye inlets. Kama hilo la kigamboni au lile la Busisi. Lakini kupitisha daraja baharini ili kuwa na daraja linalopita baharini ni ushamba mkubwa sana.
Sawa, si limepita baharini lakini? Au ni ziwa lile?
 
Mpaka sasa sijaona kulikuwa na umuhimu gani wa mradi mkubwa kama huo sehemu ambayo tayari daraja lipo karibu tuu. Uwezo wetu wakufikiri uliishia kuwa tujenge daraja lingine pembeni? Au ni mradi wa watu?
 
Lengo letu la kishamba la kuwa na daraja linalopita baharini limekamilika.
Black Africans ni sawa na nyani ama ngedere kwa kutojitambua, yaani bado ni wanyama btw!

Maendeleo yamefanywa kurahisisha maisha ya waja mtu unasema ushamba!

Kwako ulitaka nini kifanyike ili useme "sasa poa", ama ahsante?

Pesa isipofanya maendeleo ya kuonekana, hata maendeleo yasiyoonekana yanayoitwa maendeleo ya watu pia hayapo na pesa hizo huishia mifukoni mwa mumiani wanyonya jasho na damu ama kwa lugha nyingine "mafisi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…