Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Ule ni mradi wa show off siyo mradi wa maendeleo.Black Africans ni sawa na nyani ama ngedere kwa kutojitambua, yaani bado ni wanyama btw!
Maendeleo yamefanywa kurahisisha maisha ya waja mtu unasema ushamba!
Kwako ulitaka nini kifanyike ili useme "sasa poa", ama ahsante?
Pesa isipofanya maendeleo ya kuonekana, hata maendeleo yasiyoonekana yanayoitwa maendeleo ya watu pia hayapo na pesa hizo huishia mifukoni mwa mumiani wanyonya jasho na damu ama kwa lugha nyingine "mafisi".