Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kumbuka sisi tukiuza tumbaku ndiyo tutalipa huo mkopo. Hapo Dar hamna kitu mtauza kitaingiza pesa za kigeni za kulipia mkopo.We uko namtumbo utaonaje umuhimu wa daraja Oysterbay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka sisi tukiuza tumbaku ndiyo tutalipa huo mkopo. Hapo Dar hamna kitu mtauza kitaingiza pesa za kigeni za kulipia mkopo.We uko namtumbo utaonaje umuhimu wa daraja Oysterbay
Kwani kigamboni si lipo tayari?Lengo letu la kishamba la kuwa na daraja linalopita baharini limekamilika.
Pale watu watakuwa wanaenda kupiga picha tu. Halina umuhimu wowote kwa maendeleo.Hili daraja likianza kazi ndio watu wataelewa umuhimu wake
Hakuna atakaepita hapo wakilipishaNa wabunge waishaanza kuomba watumiaji walipishwe..
Mazafaka walai, zisi kantri..
Aliyefikiria kulijenga hili daraja hakika alituingiza mkenge.Pale watu watakuwa wanaenda kupiga picha tu. Halina umuhimu wowote kwa maendeleo.
Au Morroco na Mwenge piaAliyefikiria kulijenga hili daraja hakika alituingiza mkenge.
Pale salenda ilitakiwa ijengwe daraja lingine la juu