Daraja la Tanzanite kuzinduliwa hivi karibuni

Ule ni mradi wa show off siyo mradi wa maendeleo.
 
Reactions: y-n
Nimejiuliz sana sabb ya kujenga daraja pasipo na faida. Umuhimi.. surrender so what
Nchi za kiafrika zipo hivi toka enzi za uhuru. Walianzisha miradi ya kijinga kujionyesha kwamba wameendelea lakini kiuchumi haikuwa na faida yoyote.
 
Bahari ni pana na ukiidefine kiujumla utapotea.
Unabishana na huyo jamaa? Hamtamaliza. BTW: Haya ni matumizi mabaya kabisa ya fedha kwa nchi maskini kama yetu. Unajua wanasiasa hawana uchungu kabisa na maisha duni ya wananchi. Hili daraja sioni umuhimu wake kulinganisha na mambo mengine magumu kabisa wanayo-face wananchi.
 
Mpaka sasa sijaona kulikuwa na umuhimu gani wa mradi mkubwa kama huo sehemu ambayo tayari daraja lipo karibu tuu. Uwezo wetu wakufikiri uliishia kuwa tujenge daraja lingine pembeni? Au ni mradi wa watu?
Ma injinia wanajua
Kumbuka wazo la kujenga hilo daraja ni la miaka mingi iliyopita kulikuwa na upembuzi yakinifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…