Daraja la Tanzanite kuzinduliwa hivi karibuni


Waliojengewa daraja ni hao wenye nyumba ng’ambo ya pili ya daraja, wengine tukomae na daraja la zamani tu
 
 
Pale watu watakuwa wanaenda kupiga picha tu. Halina umuhimu wowote kwa maendeleo.
Aliyefikiria kulijenga hili daraja hakika alituingiza mkenge.
Pale salenda ilitakiwa ijengwe daraja lingine la juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…