Daraja la Wavuka kwa Miguu Kawe Bondeni lifanyiwe kidogo tena Matengenezo ili kuliimarisha

Daraja la Wavuka kwa Miguu Kawe Bondeni lifanyiwe kidogo tena Matengenezo ili kuliimarisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna sehemu kule Juu unaona kabisa Bati limeanza kuachia huku Lami iliyoko kwa kule Juu nayo ikianza Kuisha.

Ni Daraja zuri ila liwe linafanyiwa Matengenezo na Uangalizi ili Kuliimarisha kwani kuna muda hata ukiwa kule Juu unasikia kabisa likinesa na Uimara wake kutia Shaka.

Ombi langu hili lizingatiwe upesi sana na pia GENTAMYCINE nitaomba Majibu kutoka kwa Mamlaka husika ni kwanini Hayati Rais Dk. Magufuli alikwepeshwa mno kwenda Kulizindua?

Sina sina na Designing yake kwani ni Zuri Kimwonekano na ndiyo maana hata Mademu wengi Washamba Washamba wanaosali kwa Mtu wao Mmoja Tapeli na Muongo huwa nawatongozea kule kule Juu ila nina Mashaka na Ubora wake.

Kuna sehemu ukitembea kwa kule Juu unaona kabisa Bati fulani limetoboka na hadi kule chini (kwenye Lami yanakopita Magari) unapaona hivyo inatishia Usalama wetu sisi akina GENTAMYCINE Wabobezi wa Kulipanda na Kulisha kila Uchao.
 
Back
Top Bottom