Daraja laporomoka waheshimiwa wakikata utepe kulifungua

Wakati nikitafakari viongozi wa kiafrika dhidi ya miradi inayowahusu wananchi wa kawaida huko mtaani, kwa mfano miradi kwa sehemu mbalimbali huko mikoani, utasikia choo au bafu limetumia 230 milions.

Hapa kwenye kipande hiki cha sinema hii nimeshangaa wanawahi kumuokoa huyo mama na hata baada ya kumtoa mgeni rasmi ameachwa afie huko, why this?.

View attachment 2348077
NOTE: Tukio hili limetokea hapo drc.
Diuui🤣🤣
 
Katika
Mumshukuru jiwe, bila yeye mngeisoma namba, mkiwa mnaenda kuhesabiwa disemba mkipita hapo mjue kuna mwamba toka chato alifanya ya kufanya
Watanzania wajinga nawe umo, hakuna rais aliyejenga kitu chochote Tanzania ni serikali kwa kutumia kodi za watanzania, mbona barabara ilijengwa na mwingereza kwa kodi za wananchi na aliondoka.
 
Tozo zimekuchanganya wewe
 
Ila sidhani kama mamba wetu watakuepo, Wachina wanakula mamba sana , Nyani Bado Wachache nimewaona
Mamba nao waliwafaidi Watu waliokuwa wakitumbukia Mtoni baada ya maajali ya muda mrefu.
 
Wakati nikitafakari viongozi wa kiafrika dhidi ya miradi inayowahusu wananchi wa kawaida huko mtaani, kwa mfano miradi kwa sehemu mbalimbali huko mikoani, utasikia choo au bafu limetumia 230 milions.

Hapa kwenye kipande hiki cha sinema hii nimeshangaa wanawahi kumuokoa huyo mama na hata baada ya kumtoa mgeni rasmi ameachwa afie huko, why this?.

View attachment 2348077
NOTE: Tukio hili limetokea hapo drc.

[emoji1787]
 
Mumshukuru jiwe, bila yeye mngeisoma namba, mkiwa mnaenda kuhesabiwa disemba mkipita hapo mjue kuna mwamba toka chato alifanya ya kufanya
daraja lilikuwa ktk hatua za ujenzi toka Che Mkapa wewe acha kushoboka!
 
Back
Top Bottom