TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #41
Huwa nachungulia kwenye majukwaa ya nchi jirani huko, yaani Afrika karibu nchi zote hatuna tofauti kutokana na madudu yanayofanyika.Hapa ni Tanzania kabisa.Acheni kusingizia kuwa in drc
Kuna lingine huko Zimbabwe nalo limepinduka juu chini, bahati mamba hawakuwepo ilikuwa kiongozi aliwe.
Haya kule Zambia wananchi walishangilia kabisa.