Daraja laporomoka waheshimiwa wakikata utepe kulifungua

Diuui🤣🤣
 
Katika
Mumshukuru jiwe, bila yeye mngeisoma namba, mkiwa mnaenda kuhesabiwa disemba mkipita hapo mjue kuna mwamba toka chato alifanya ya kufanya
Watanzania wajinga nawe umo, hakuna rais aliyejenga kitu chochote Tanzania ni serikali kwa kutumia kodi za watanzania, mbona barabara ilijengwa na mwingereza kwa kodi za wananchi na aliondoka.
 
Katika

Watanzania wajinga nawe umo, hakuna rais aliyejenga kitu chochote Tanzania ni serikali kwa kutumia kodi za watanzania, mbona barabara ilijengwa na mwingereza kwa kodi za wananchi na aliondoka.
Tozo zimekuchanganya wewe
 
Ila sidhani kama mamba wetu watakuepo, Wachina wanakula mamba sana , Nyani Bado Wachache nimewaona
Mamba nao waliwafaidi Watu waliokuwa wakitumbukia Mtoni baada ya maajali ya muda mrefu.
 
[emoji1787]
 
Mumshukuru jiwe, bila yeye mngeisoma namba, mkiwa mnaenda kuhesabiwa disemba mkipita hapo mjue kuna mwamba toka chato alifanya ya kufanya
daraja lilikuwa ktk hatua za ujenzi toka Che Mkapa wewe acha kushoboka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…