TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Sep 7, 2022 Thread starter #41 mapesa yamejaa said: Hapa ni Tanzania kabisa.Acheni kusingizia kuwa in drc Click to expand... Huwa nachungulia kwenye majukwaa ya nchi jirani huko, yaani Afrika karibu nchi zote hatuna tofauti kutokana na madudu yanayofanyika. Kuna lingine huko Zimbabwe nalo limepinduka juu chini, bahati mamba hawakuwepo ilikuwa kiongozi aliwe. Haya kule Zambia wananchi walishangilia kabisa.
mapesa yamejaa said: Hapa ni Tanzania kabisa.Acheni kusingizia kuwa in drc Click to expand... Huwa nachungulia kwenye majukwaa ya nchi jirani huko, yaani Afrika karibu nchi zote hatuna tofauti kutokana na madudu yanayofanyika. Kuna lingine huko Zimbabwe nalo limepinduka juu chini, bahati mamba hawakuwepo ilikuwa kiongozi aliwe. Haya kule Zambia wananchi walishangilia kabisa.
B Bekka Member Joined Aug 26, 2022 Posts 5 Reaction score 7 Sep 7, 2022 #42 naamini ule msemo wa Tanzania ni channel ya vichekesho huko
Nzie ya Mana JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,515 Reaction score 1,730 Sep 8, 2022 #43 Vesuvius said: Tozo zimekuchanganya wewe Click to expand... Kila kitu rais!