Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Una mana gani kusema wengine? Wakina nani sasaKapokeza kijiti kwa wengine ,mda(wakati) ni noma sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mana gani kusema wengine? Wakina nani sasaKapokeza kijiti kwa wengine ,mda(wakati) ni noma sana!!
Wengine wanao hit kwenye chorus ,yeyote kwa sasa anayefanya vizuri kwenye chorus.Una mana gani kusema wengine? Wakina nani sasa
Kama nani labdaWengine wanao hit kwenye chorus ,yeyote kwa sasa anayefanya vizuri kwenye chorus.
[emoji444][emoji445]Darasa huru mambo si safi mpeto/shika lako,shika na la mwalimu/utashikwa mikono,utashikwa miguu,akili nyweeeele kila mtu anazo zake[emoji445][emoji444]Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo vizuri kwa zama hizi....ila bado sana kufikia hata robo ya levo za kipindi kile.....
Kulwa na dotto by Soggy chorus alipiga Daz Mwalimu a.k.a Daz baba sio juma natureRadhia-Dolo, Mambo ya Pwani-Solo, Kulwa na Dotto-Soggy, Kamua baba-GWM,Bila Sanaa-Imam Abbas, Naja-Squizer, Agwelina, etc. Nature the best chorus killer of all time
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtanange ili unoge zaidi ungeongezea na Chorus ya Juma Nature kwenye wimbo wa Mike Tee wa NAMPENDA. Chorus inaimba,Nipo hapa nasikiliza ngoma za zamani, hizi ngoma mbili zinazomilikiwa na Jos Mtambo(Darasa Huru) na Jay Mo(Kama unataka dem) zimenakshiwa vyema na chorus za hawa magwiji wawili wa chorus, kwangu mimi hizi ni miongoni mwa chorus kali sana kutokea tangu bongofleva imeanza, je ni nani alikamua zaidi ukilinganisha hizi chorus za nyimbo mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wapi,Kulwa na dotto by Soggy chorus alipiga Daz Mwalimu a.k.a Daz baba sio juma nature
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wapi,
Daz hana ile sauti,
Nature yule,
Nimpende yupi kati yaoo,
Na nimuache yupi kati yaoo,
Maana mi nawaona wote kua sawa,
Kurwa na Dotto wananifanya napagawaa,
Mambo ya pwani zote mbili namsikia solo zaidi kwa nature ni kama kachombeza kwa mbali.Radhia-Dolo, Mambo ya Pwani-Solo, Kulwa na Dotto-Soggy, Kamua baba-GWM,Bila Sanaa-Imam Abbas, Naja-Squizer, Agwelina, etc. Nature the best chorus killer of all time
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Jane alipopata mafao (mafao)kama unataka demu (sema unataka aweje aweje)
Kama ukienda boogie(ungependa atokejetokeje)
Marashi itakuwaje(angenukiaje?)
Na akiwa mtaani (ungependa atokeeejee)
Darasa huru, mambo si safi mpeto, shika lako shika na la mwalimu, utashikwa mikono, utashikwa miguu, akili nywele, kila mtu anazo zake
Wanafkinafki watu wa kupakazia yasowahusu wao kuingilia, maneno yao ni kama ya simba ukiyasikiliza unaweza ukawaaminia, oh wanock nock watu wa kusingizia madem wa watu washkaji wanawarukia, kumbe ni waongo wao wenyewe ndio wanaowatokea,, ni usawa wa ukweli na uwaaazi, ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu mwambie ukweli sio kupazia
Radhia wangu ww namba one, nakupenda sana si utani, usisikize ngendembwe za jiranj, maana wao wana chuki asilan
Nimekufiafia nimekuzimikia kia mtoto wa geti kali, kwakuwa maisha yangu ya geto kukwambia naona hatari, km unaweza bby njoo tujivinjari, lakini je je unaweza kula ugali kulumangia kachumbari
Ama zangu ama zao wakibana wataachia wakiziba wakitega we tegua sema nao,.. Ni ama zangu ama zao kiama changu ama chao...
Kupiga debe kwangu ilikuwa poa, fani katika maisha ikaja kuniokoa, kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoA, mke nilimshushA hadhi kuwa na machangu doa
Sina dem, kama unavyoniona mpenzi, ndio maana nimekuchagua ww ukidhi yangu mahitaji, sio kwamba mm sitaki demu ila sijamuona mwenye sifa, uzuri ulionao kama wewe malaika wangu
Nami nanata nadata, microphone kamata, changanya maneno kama karata, toa vingi viulizo kisha weka na nukta, data, na yangu
mistari ambayo tata, fyata mc katuni katu hautonipata, kitu gani sina, eti biti na vina, mpofu anataka jina, solo nataka heshima