Baba Jane alipopata mafao (mafao)
Tabia ikabdirika, ona sasa yamemkuta (aah)
Anabaki anajuta.
Chakushangaza sina kazi... nami nataka mahitaji.. nikitazama sina pesa ooh pesa
Nyumbani jiko limenuna, kazini wamenipa ridandasi watoto wanalia njaa, chakushangaza sina pesa ooh pesa eeh nyumbani jiko limenuna.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Wengine wanatiwa ndani wengine wanatiwa selo wengine wanaoza jela wengine waaaa... Tumbo joto kali p
Hili ni wimbi la njaa, hela ya bia hatuna sisi tunakunywa chang'a, kiuzushi uzushi mwanangu hatuzungushi, kilichobaki tukomae sisi kama sisi, haha ha hahaha... Wimbi la njaa sir nature
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi (wako wapi}, balozi bado nipo ninapanda kwenye chati(kwenye chat), nashika ileile, ile moja nambaa natamba, kwa uhakika kila mwaka wa kubaki kwenye chat, yeeeea... Kwenye chat balozi
Yani Shwari hamna shari iiii,(mi na mabinti damdam kweliii) samani ziko wazi mwenye macho aone, heeeeiiiii.... Mabinti mwana fa
Maji yakishamwagika hayazoleki, maji yakishamwagika hayazoleki, maisha umeyachezea sasa mpenzi unajuta, maisha umeyachezea sasa mpenzi unalia, sister sister.... Sister sister, gk na pauline zongo
Parklane bado tupo kwenye floo hizi rhymes tunazokupa ni rhymes kubwa mno, itakayokufanya uzame kwenye shimo hii ni bab kubwa, masela semeni oooh oooh, masela semeni oooh oooh
Kila mmoja anapendeza(tshirt na jeans), hakuna inayomchukiza(tshirt na jeans), sitoweza kuiacha inanitoa chicha nami nawakilishaaa.... UVC tshirt na jeans
Kama, mike t ningekuwa staa., kama, ningekuwa na mkwanja kachaa, kama, ningekuwa mi mrefu na mkwanja kacha iringa town ningekuwa balaa... Kama ya mike t feat jay mo
Nyambizi Nakupenda, japo mkubwaa, mateso ninayopata usiku ni makubwa, naomba unielewe uwe wangu mchumba, nyambizi nakuoendaa japo mkubwa
Mzee wa busara, vishawishi vimponza mpaka kafanya msala, mzee wa busara, ni mzee ambaye tunaishi nae kwenye nyumba ya kupanga, mzee wa busara, vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala, mzee wa busara, na tena majirani wanahisi huyu mwanga, mzee wa busara