Darasa Huru (DULLY SYKES) Vs Kama Unataka Demu (Q Chief) nani aliumiza zaidi kwenye chorus?


Halafu bado nyimbo zake aisee Sema yupo na Jide mR Blue ni msanii ambae anapaswa kupewa tuzo ya pekee, nyimbo kama unanimaliza, tabasamu and na chorus za micharazo pia.
 
Ah wapi,
Daz hana ile sauti,
Nature yule,

Nimpende yupi kati yaoo,
Na nimuache yupi kati yaoo,
Maana mi nawaona wote kua sawa,
Kurwa na Dotto wananifanya napagawaa,
Acha ubishi mzee, tafuta ngoma ya Daz Baba inayoitwa WIFE kisha ndo utaamini kama jamaa nae alikuwa yumo
 
Acha ubishi mzee, tafuta ngoma ya Daz Baba inayoitwa WIFE kisha ndo utaamini kama jamaa nae alikuwa yumo
Unakurupuka vibaya mno, yaani unadandia gari kwa mbele.

Mimi nilisema ni Nature sio DAZ,
Mwengine akasema ni DAZ sio Nature,
Soggy kuulizwa akasema Wote Wawili walikuwepo, so ni mchanganyiko wa sauti mbili pale.

Mjadala ukafungiwa hapo, hiki ulichoandika wewe hakina mashiko kwa sasa.
 
Zote sawa hakuna mbabe hapo
 
Poa mkuu sikuwa nimemaliza page zote

Nakumbushia na huyu Ray C naye muangalieni kwenye chorus

Kuna Noorah naye ila huyu ameua zaidi kwenye nyimbo anazoshirikishwa haswa verse ya mwisho anayotakiwa kuchana kama Chochote utapata ya K lyne

Mr Blue nae kwenye Nipe/nishike mkono aliyoshirikishwa na K lyne nae alifanya vizuri

Ila huyu dada nae ( K lyne ) alikua yupo vizuri bila kusahau ngoma yake aliyomshirikisha bushoke
 
Ni kweli Mkuu wangu,
Wako vizuri,
K Lynn yuko vizuri na ana sauti tamu. Sema ndo hana nyimbo nyingi, labda alikua akiimbia fani au hobby tu, sio kuimba ili ku make money.
 
Naiskiliza Darasa huru hapa natumai jibu nimekupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…