Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

Nawezaje kupata the black list season 07 full

Na Ip man 4
 
Fungua ofisi uanze kutuwekea kwenye memory card zetu au flash za GB 250.
 
Hiyo flixbag ina option ya kudownload whole seasons by one click kwenye zip au ndio una donoa donoa ka episode kamoja kamoja?
 
1592200152668.png

wazee wa kulipia acha tu mnione napenda kitonga elfu 18 ni kipande sio kinyonge, sasa ngoja niitest feedback baadaye
 
Nakubaliana na wewe! Zamani mara kwa mara nilikuwa na-subscribe NetFlix lakini baada ya miezi miwili mitatu, nikawa najitoa! Kilichokuwa kinanishinda ni bundle manake episode moja ilikuwa inakula roughly 1GB!

Baadae kabisa, nikaona wacha nijaribu Basic Plan (awali nilikuwa natumia Premium)! Tangu nianze kutumia Basic Plan ni almost mwaka sasa na sijajitoa kwa sababu GB moja ile ile naangalia almost 4 episodes!

Hapo ndipo nikagundua mchawi wangu alikuwa HD anayepatikana kwenye Premium Plan, na hadi sasa sijaona tofauti ya maana in terms of video ya quality!
Ipo chini ya basic inaitwa data saver, kuipata hadi uingie setting uichague, 1gb inaweza play season nzima kwa data saver yenye around episode 10.

Sema data saver inafaa vifaa kama simu ama Tablet kwa tv itaonesha mchele mchele.
 
dah mkuu mb 100 muvi yenye zaidi ya saa tena iwe HD🙄🙄
Ukipata coder mzuri wa x265 episode ya around dk 40 inakuwa chini ya mb 100. Sema inategemea na bitrate.

Na kwa Av1 inakuwa ndogo zaidi mfano hii video.

Hii ni trailer ya dakika 2 na sekunde 30 kwa mb 1.2 tu.

Hapo ni Around kb 500 kwa dakika, inamaana movie inaweza kuwa as low as mb 50 tu. Na episode chini ya hapo.

Tumia vlc kuiplay
 
Attachments

  • Counterpart___Official_Trailer_Starring_J.K._Simmons___STARZ-c3Bu2DOM66g_480p_AV1-CRF50.webm
    1.2 MB

Naona haina sauti na ni 480p sio hd hata quality ya kawaida ila labda kwenye simu itakua poa, ama kweli teknolojia inaenda kasi, lakini vipi kwa hd zile za 1080P mkuu??
 
Naona haina sauti na ni 480p sio hd hata quality ya kawaida ila labda kwenye simu itakua poa, ama kweli teknolojia inaenda kasi, lakini vipi kwa hd zile za 1080P mkuu??
Haina sauti sababu itakuwa kifaa chako kimeshindwa kuplay, ni tech mpya hio inabagua vifaa sana na mpaka sasa hakuna gpu inayocheza.

Ndio nimeicheki ni 480p ila still kwa hizo mb bado ni achievement kubwa.

Mkuu Av1 inatumika youtube/netflix unaweza ukaitest mwenyewe sema wameiroll chanell maarufu tu na ipo kwenye beta hadi uchague kuoneshwa video zake. Mfano wa playlist ya Av1 unaweza ukaangalia zaidi quality per mb

Huwa sinaga muda kabisa na hizo Netflix , Hulu ,HBO NOW etc . Nitaendelea ku pirate milele
 
Ipo chini ya basic inaitwa data saver, kuipata hadi uingie setting uichague, 1gb inaweza play season nzima kwa data saver yenye around episode 10.

Sema data saver inafaa vifaa kama simu ama Tablet kwa tv itaonesha mchele mchele.
Thanks Chief, baadae itabidi nicheki manake kama sikosei setting yangu niliweka auto. Kuhusu device, binafsi natumia sana laptop
 
Back
Top Bottom