Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

Laptop bora ubaki na Auto mkuu, data saver quality haitakuwa nzuri
Yah, nimeona kupungua kwa quality na kwahiyo nikarudi tena kwenye auto mbayo still ni bora maradufu (by means of affordability) kulinganisha na lile balaa ambalo nilijiunga nalo mwanzo!
 
Erdedrfbd3m
Wakuu msisumbuke sana,
Teatv, utapata kila kitu bora na series yoyote ile bure,
Kisha rudi unipe mrejesho.
Bila kusahau kwa ubora unaoutaka wewe.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Krfdrreeeeegrggjfgrhgfdd
Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu

1.Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya network.
2.Kustream series kwa vifurushi ni gharama kwa watu wa vipato vya chini, Hivyo wengi wanaweza kutumia vifurushi vya bei chee vya usiku ili kudownload na kucheki series mda wowote.

3.Hutasumbuka na torrents, Mfano Money heist ilipotoka binafsi nliishusha hapo hapo wakatu bado haijapandishwa kwenye torrents, Pia kuna series ambazo hazipo torrent, wewe utaweza kuzshusha, Hutakuwa tena mtumwa wa hizi torrents

Haya turudi kwenye mada.

1. Ili kudownload series za netflix inabidi uwe na software inaitwa "FLIXGRAB", Binafsi naitumia kwenye windows, sijajua kama ipo kwa android ama ios ya iphone na macbook.

2. Software utaipakua hapa >>> DOWNLOAD FLIXGRAB

3. Ukitaka kudownload series utaingia kwenye account yako ya netflix, utachagua series unayopenda na utaenda sehemu ya episodes

4. Uta right click kwenye episode unayoitaka na utaminya copy link location

View attachment 1478350


5.Utafungua flix grab na utaminya paste url
View attachment 1478351

kabla hujadownload unaweza kuchagua quality ya video, Lugha ya audio na subtitles utazohitaji.

Kitu cha muhimu ni kwamba kuna toleo la bure na toleo premium la elf 17 kwa miezi mitatu.

Toleo la bure hutaweza kudownload HD, utapata quality ya kawaida sana, ni kam 360 p ndio mwisho

... Kama utahitaji kununua njia rahisi ni kutumia mpesa visa card, utaminya *150*00# >>4 >> 6 hapo uatengeneza kadi na utatumiwa meseji yenye taarifa za kadi zako utazotumia kufanyia muamala...Jaza kama elf 18 ndio ufanye muamala.

NAAJUA KUNA BAADHI WATATAFUTA NJIA MBADA YA PREMIUM VERSION ZILIZOVUNJWA, KUFANYA HIVI NI KUHATARISHA USALAMA WA PC YAKO MAANA VIRUS HAWA WANAWEZA KUKUFUNGIA MAFAILI YOTE (NMESHUDIA KWA WATU WATATU), HERI UNUNUE TU MAANA INARUSU WATUMIAJI WATATU KWAHIO MNAWEZA KUJICHANGA
Berf3eereefe444r4e

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teatv oyeeeeee, ukiacha hyo pia kuna moviebox pro nayo ni mwisho wa matatizo, wa Netflix endeleeni tu kwakwel.
 
Mkuu tunawezaje kumhack account ya Netflix tukawa tunastream Bure?
 
1. Si kweli kwamba netflix inahitaji internet yenye speed kustream, Netflix wana Hadi Av1 codecs nimestream movie kwa 0.5mbps internet. Mb 500 naangalia movie 2 na mb zinabaki. Na unlimited ya royal Halotel ilikuwa inastream kabla hawajapunguza speed.

2. App ya Netflix ina option ya kudownload huna hata haja ya kutumia 3rd party app, kama movie umeipenda unaidownload. Unless unataka kushare na watu hio movie.
Hvi kulipia kwa mwezi ni bei gani netflix?
 
Hvi kulipia kwa mwezi ni bei gani netflix?
Kuna plan tofauti kwetu ya bei ya Chini ni Dola 7, kuna plan ya mobile only ya Dola 2 imeanza baadhi ya nchi Sema haijafika kwetu.

Pia zipo za magumashi cracked accounts na trial wanauza Dola 1 ama 2 kwa mwezi. Unapata eBay na website nyengine.
 
nikitaka kudownload season nzima nafanyaje? mbona inanigimea inataka episode mojamoja
 
Back
Top Bottom