Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Laptop bora ubaki na Auto mkuu, data saver quality haitakuwa nzuriThanks Chief, baadae itabidi nicheki manake kama sikosei setting yangu niliweka auto. Kuhusu device, binafsi natumia sana laptop
Yah, nimeona kupungua kwa quality na kwahiyo nikarudi tena kwenye auto mbayo still ni bora maradufu (by means of affordability) kulinganisha na lile balaa ambalo nilijiunga nalo mwanzo!Laptop bora ubaki na Auto mkuu, data saver quality haitakuwa nzuri
KrfdrreeeeegrggjfgrhgfddWakuu msisumbuke sana,
Teatv, utapata kila kitu bora na series yoyote ile bure,
Kisha rudi unipe mrejesho.
Bila kusahau kwa ubora unaoutaka wewe.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Berf3eereefe444r4eKudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu
1.Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya network.
2.Kustream series kwa vifurushi ni gharama kwa watu wa vipato vya chini, Hivyo wengi wanaweza kutumia vifurushi vya bei chee vya usiku ili kudownload na kucheki series mda wowote.
3.Hutasumbuka na torrents, Mfano Money heist ilipotoka binafsi nliishusha hapo hapo wakatu bado haijapandishwa kwenye torrents, Pia kuna series ambazo hazipo torrent, wewe utaweza kuzshusha, Hutakuwa tena mtumwa wa hizi torrents
Haya turudi kwenye mada.
1. Ili kudownload series za netflix inabidi uwe na software inaitwa "FLIXGRAB", Binafsi naitumia kwenye windows, sijajua kama ipo kwa android ama ios ya iphone na macbook.
2. Software utaipakua hapa >>> DOWNLOAD FLIXGRAB
3. Ukitaka kudownload series utaingia kwenye account yako ya netflix, utachagua series unayopenda na utaenda sehemu ya episodes
4. Uta right click kwenye episode unayoitaka na utaminya copy link location
View attachment 1478350
5.Utafungua flix grab na utaminya paste url
View attachment 1478351
kabla hujadownload unaweza kuchagua quality ya video, Lugha ya audio na subtitles utazohitaji.
Kitu cha muhimu ni kwamba kuna toleo la bure na toleo premium la elf 17 kwa miezi mitatu.
Toleo la bure hutaweza kudownload HD, utapata quality ya kawaida sana, ni kam 360 p ndio mwisho
... Kama utahitaji kununua njia rahisi ni kutumia mpesa visa card, utaminya *150*00# >>4 >> 6 hapo uatengeneza kadi na utatumiwa meseji yenye taarifa za kadi zako utazotumia kufanyia muamala...Jaza kama elf 18 ndio ufanye muamala.
NAAJUA KUNA BAADHI WATATAFUTA NJIA MBADA YA PREMIUM VERSION ZILIZOVUNJWA, KUFANYA HIVI NI KUHATARISHA USALAMA WA PC YAKO MAANA VIRUS HAWA WANAWEZA KUKUFUNGIA MAFAILI YOTE (NMESHUDIA KWA WATU WATATU), HERI UNUNUE TU MAANA INARUSU WATUMIAJI WATATU KWAHIO MNAWEZA KUJICHANGA
Mbona kama hazina opinion ya kudownloadTeatv oyeeeeee, ukiacha hyo pia kuna moviebox pro nayo ni mwisho wa matatizo, wa Netflix endeleeni tu kwakwel.
Zipo, chek vzr.Mbona kama hazina opinion ya kudownload
Hiyo teatv ipoje? Naziona nyingi na sijui ipi sahihiTeatv oyeeeeee, ukiacha hyo pia kuna moviebox pro nayo ni mwisho wa matatizo, wa Netflix endeleeni tu kwakwel.
Hvi kulipia kwa mwezi ni bei gani netflix?1. Si kweli kwamba netflix inahitaji internet yenye speed kustream, Netflix wana Hadi Av1 codecs nimestream movie kwa 0.5mbps internet. Mb 500 naangalia movie 2 na mb zinabaki. Na unlimited ya royal Halotel ilikuwa inastream kabla hawajapunguza speed.
2. App ya Netflix ina option ya kudownload huna hata haja ya kutumia 3rd party app, kama movie umeipenda unaidownload. Unless unataka kushare na watu hio movie.
Kuna plan tofauti kwetu ya bei ya Chini ni Dola 7, kuna plan ya mobile only ya Dola 2 imeanza baadhi ya nchi Sema haijafika kwetu.Hvi kulipia kwa mwezi ni bei gani netflix?
Tumia app ya moviebox pro, teatv ni muvi chache sana unazoweza kudownlod ila hyo ni movie zote.Tunadownloadije sasa maana naona sehemu ya kuwatch tu
Weka hapa icon yake tuitambue maana hapa appstore ziko kibaoTumia app ya moviebox pro, teatv ni muvi chache sana unazoweza kudownlod ila hyo ni movie zote.
Hapa umemaanisha movie ikiwa full mfano season inakua hadi final au umemaanisha kipande kimoja pekee?Telegram muvi moja kuishusha sio chini ya 800mb mkuu