Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Baada ya ukimya wa Darassa na kutoonekana kabisa mahali popote taarifa nyeti na za uhakika ni kwamba msanii Darassa amefungiwa na ndugu zake kwa baba yake mkubwa Kiwalani kutokana na matumizi ya unga.

Waliamua kuchukua hatua ili ndugu yao huyo asije kuwaaibisha mbele ya jamii kutokana na umaarufu wake alionao.

Vijana acheni madawa
 
Jamani very sad,

basi kuna watakaomlaumu humu...

ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}

hata kuingiaga JF pia ni addiction,

sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....

sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...

siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
 
Kile kipindi alipopotezwa walimuazishia doze.. Sio kosa lake.. Si kila teja aliungua kwenye madawa kwa hiari.. Wengine wana story za kutishana nyuma yao...
 
Kumfungia ndani haitoshi watafute na wataalamu wa hayo mambo kumtoa sumu jamaa alikuwa anaonekana mtu wa kujitambua sijui imekuaje kajiingiza huko chid benz kimebaki kichwa tu
 
Juzi nilimsikia mtu anasema darasa yupo sober, bagamoyo. Ila vyovyote vile, inasikitisha nasa. Kwa nini lakini?
 
Jamani very sad,

basi kuna watakaomlaumu humu...

ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}

hata kuingiaga JF pia ni addiction,

sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....

sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...

siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Great thinker's reply [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom