Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii sikuipata. Darasa alipotezwa lini na sababu zinaelezwa zilikuwa zipi?Kile kipindi alipopotezwa walimuazishia doze.. Sio kosa lake.. Si kila teja aliungua kwenye madawa kwa hiari.. Wengine wana story za kutishana nyuma yao...
Unalia nini sasa.Juzi nilimsikia mtu anasema darasa yupo sober, bagamoyo. Ila vyovyote vile, inasikitisha nasa. Kwa nini lakini?
jamaa teja la siku nyingi ina maana unataka kuwalaumu kina hanscanna?Nyuma ya darasa kuna watu...
Wanaotaka kumpoteza kimziki baada ya kuwa tishio kwa tasnia ya bongofleva
Darasa hadi kuanza mtumizi ya madawa, waliokuwa wanaona siku za mbeleni atakuwa tishio, aliundiwa kundi lisilo pungua watu wa 4, ambao watakuwa marafiki zake na kumpa support kwenye musiki na kwenye maisha ya kawaida
Baada ya hao watu watu wa 4 kupenyezwa bila Darasa kujua malengo yao ni kitu gani aliwaamini kama marafiki zake kumbe lengo lao ni kumpoteza kwenye ulingo wa mziki bila kuacha ushahidi kuwa wao walihusika..
Njia walio tumia ni kumtilia madawa ya kulevya kwenye kinywaji kila alipo enda kwenye iwe kwenye
-Show
-Club
Wapo nae nyuma, na darasa maskini wa Mungu hakujua kama hao marafiki zake walikuwa na lengo gani kwake...
Njia iliyo tumika watabaki wanamlaumu darasa bila kujua ukweli
[emoji106]Jamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Nyuma ya darasa kuna watu...

Apewe kaziJamani very sad,

Humjui darasa zaidi ya kumuona kwenye video..Nyuma ya darasa kuna watu...
Wanaotaka kumpoteza kimziki baada ya kuwa tishio kwa tasnia ya bongofleva
Darasa hadi kuanza mtumizi ya madawa, waliokuwa wanaona siku za mbeleni atakuwa tishio, aliundiwa kundi lisilo pungua watu wa 4, ambao watakuwa marafiki zake na kumpa support kwenye musiki na kwenye maisha ya kawaida
Baada ya hao watu watu wa 4 kupenyezwa bila Darasa kujua malengo yao ni kitu gani aliwaamini kama marafiki zake kumbe lengo lao ni kumpoteza kwenye ulingo wa mziki bila kuacha ushahidi kuwa wao walihusika..
Njia walio tumia ni kumtilia madawa ya kulevya kwenye kinywaji kila alipo enda kwenye iwe kwenye
-Show
-Club
Wapo nae nyuma, na darasa maskini wa Mungu hakujua kama hao marafiki zake walikuwa na lengo gani kwake...
Njia iliyo tumika watabaki wanamlaumu darasa bila kujua ukweli
Ni ujinga kumtetea mtu anayekula madawa kwa kupenda eti atoe sababu ambazo hazina mashiko? Kwa kweli sikuungi mkono kwa hapo.Jamani very sad,
basi kuna watakaomlaumu humu...
ukweli addiction sio kwenye madawa tu, addiction iko kila mahali..kuna watu wako addicted na food,water,sleep,sex
etc{Reinforcers}
hata kuingiaga JF pia ni addiction,
sehemu kwenye ubongo ambayo watu wanaotumia madawa imewahi kuonyeshwa kuwa ni the same area, addiction nyinginezo kama food and water zinapokuwa reactivated...sijalifanyia uchunguzi lol....
sad,ila nachoshauri mumchunguze nini kilichompelekea kuanza kutumia madawa???kumfungia peke yake haitoshi,akitoka tu ujue ana relapse...
siku akiwa sober huko huko ndani mlipomfungia muulizeni nini matarajio yake,hofu yake ni nini...kama familia muonyeshe kumsapoti ,maana dunia kaiona haimsapoti hivyo kajaribu kuiblock kwa kutumia madawa ya kulevya...
Kujaribu kuhoji ni kwa nini wasanii kama darasa wanaingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ni kulia? Ubongo wako utakuwa umechacha mkuu, trust me.Unalia nini sasa.
Yaani JF bwana kwa ujuaji,yaani mtu afanye mwenyewe ujinga halafu walaumiwe wengine[emoji13] [emoji23] , kumbukumbu zinanionesha watu wake wa karibu walikuwa Hanscana, Abba,T-Touch na Mr VS. Yaani mtu aliyekuwa anawapa hela wanampotezaje[emoji23] [emoji23] ??jamaa teja la siku nyingi ina maana unataka kuwalaumu kina hanscanna?